Iwe giza baridi na upepo Iwe kuna mawingu na minyesho Your body baby joto (joto) Unafanya nijihisi special Unanipa sababu ya uwepo Kando yako we mtoto
My desire we nipe dawa mi mahututi Sijielewi ooh my God Shida ni nimekolea penzini Shida ni baby uko moyoni wewe
Nakupenda we Nakutaka we Kwako sijiwezi Ooh my love Mpenzi we Roho yangu we Kwako sijiwezi Ooh my love
Akili mwili baby Hasira zangu navituliza Ukiongea nasikiliza Yote sababu ya upendo Pili pili baby Vindimu chumvi ya kunyunyiza Yani uroda kupitiliza Nimeumaliza mwendo
Kiukweli napendwa nachanganywa Na haya ma raha Shida ni nimekolea penzini Shida ni baby uko moyoni, wewe
Nakupenda we (anhaaa) Nakutaka we (oh nana nana) Kwako sijiwezi Ooh my love (ooh my baby) Mpenzi we (oh nonono) Roho yangu we (aaaah yayaya) Kwako sijiwezi